BWANA TITUS HERBERT (MENEJA MRADI) WA ‘LISHE RUVUMA’ KUTOKA COUNSENUTH AKITOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU UMUHIMU WA LISHE KWA MAMA MJAMZITO KWENYE TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA LILILOFANYIKA KUANZIA TAREHE 28 MEI HADI TAREHE 04 JUNI 2016. LENGO LIKIWA NI KUPUNGUZA UDUMAVU WA WATOTO KWA MKOA WA RUVUMA