Meneja CRDB Benki- Tawi la Songea, Efrosina Mwanja (kushoto) akikabidhi zawadi ya begi kwa Mratibu Mkuu wa Tamasha la Majimaji Selebuka, Reinafrida Rwezaura, zawadi zitakazotolewa kwa shule tatu zitakazoshinda katika mdahalo kwa shule za sekondari, utakaofanyika Julai 17 - 18, 2019 kwenye Ukumbi wa Manispaa Songea.