Wafanyabiashara mpoooo!!!!!!

KARIBU TUKUKUTANISHE NA WANUNUZI UPIGE HELA! Ewe mfanyabiashara, mjasiliamali, msanii, mbunifu, mkulima karibun uoneshe na kuuza bidhaa zako kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka kuanzia 13-20 Julai 2019 kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea. Mbali na wanunuzi, tamasha litakukutanisha na makampuni mbalimbali. Kwa maelezo/ushiriki tucheki: 0689 086435 au http://www.majimajiselebuka.com MajimajiSelebukaFestival #TamashaLaMajimaji2019

FAINALI YA MDAHALO KWA SHULE ZA SEKONDARI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA 2018

NA MWANDISHI WETU, SONGEA SHULE ya Sekondari Londoni iliyopo Lizaboni mjini Songea Mkoa wa Ruvuma imeibuka vinara wa jumla katika mashindano ya Mdahalo ‘Debating’ yaliyoandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Songea-Mississippi (SOMI), kupitia tamasha la Majimaji Selebuka. Shindano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Songea mkoani Ruvuma ambako Mgeni rasmi alikuwa MbungeContinue reading “FAINALI YA MDAHALO KWA SHULE ZA SEKONDARI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA 2018”

WATANZANIA WANG’ARA MAJIMAJI SELEBUKA MARATHON

Na Mwandishi Wetu TAMASHA la Majimaji Selebuka 2018 limekata utepe jana mjini hapa kwa mbio za Marathon huku ikishuhudiwa Nestory Hudu kutoka Singida akiwatoa nishai Wakenya. Hudu aliibuka kidedea katika mbio za Kilomita 42 kwa Wanaume akitumia saa 2:21:25 akifuatiwa na John Leonard wa Arusha saa 2.22:09 huku nafasi ya tatu ikienda kwa Simon LeleiContinue reading “WATANZANIA WANG’ARA MAJIMAJI SELEBUKA MARATHON”

Ruvuma wazidi kuneemeka na Majimaji Selebuka

Na Mwandishi Wetu, Songea UWEPO wa tamasha la kila mwaka mkoani Ruvuma la Majimaji Selebuka, imegeuka kuwa neema kubwa ndani ya mkoa huo kutokana na fursa mbalimbali kwa wananchi, hiyo ni baada ya serikali ya Poland kupitia kaimu balozi wake hapa nchini, Ewelina Lubieniecka kuwathibitishia wananchi uwepo wa mkakati wa kujengwa kwa ghala kubwa laContinue reading “Ruvuma wazidi kuneemeka na Majimaji Selebuka”

TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA 2018 MAMBO NI MOTO

Tamasha la Majimaji Selebuka 2018 limekuja kivingine kabisa kwani kuna fursa kedekede zimeongezeka ukilinganisha na miaka ya nyuma. Kwa mwaka huu 2018 tamasha litafanyika kuanzia tarehe 14 hadi tarehe 21 Julai mwaka 2018 katika uwanja wa Majimaji uliopo Songea mjini. Majimaji Selebuka 2018 itakuwa na mambo yafuatayo; Maonyesho ya biashara na ujasiliamali Riadha Utalii waContinue reading “TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA 2018 MAMBO NI MOTO”

Magufuli atikisa Tamasha la Majimaji Selebuka

Na Mwandishi Wetu KASI ya awamu ya tano chini ya Amri Jeshi Mkuu, Dkt John Pombe Magufuli imezidi kutikisa kila kona ya nchi, huku wananchi wakizidi kummwagia sifa kede kede. Ndivyo ilivyokuwa kwenye tamasha la kila mwaka la Majimaji Selebuka linaloendelea kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea, ambako vikundi karibu vyote vya ushiriki jumbe zaoContinue reading “Magufuli atikisa Tamasha la Majimaji Selebuka”

Mbio za walemavu zageuka gumzo kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka Mjini Songea.

Na Mwandishi Wetu, Songea Hamasa kwenye tamasha la kila mwaka la Majimaji Selebuka inazidi kupaa juu, hii ni kutokana na mwitikio chanya unaozidi kujionesha mwaka hadi mwaka, na mwaka huu mbio za walemavu ‘paralympic’ za 21km ndiyo imekuwa gumzo. Ushiriki wao umetajwa kama chagizo kubwa la watazamaji kurundikana kwenye Uwanja wa Majimaji ambako hakuna kiingilioContinue reading “Mbio za walemavu zageuka gumzo kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka Mjini Songea.”