Wafanyabiashara mpoooo!!!!!!

KARIBU TUKUKUTANISHE NA WANUNUZI UPIGE HELA! Ewe mfanyabiashara, mjasiliamali, msanii, mbunifu, mkulima karibun uoneshe na kuuza bidhaa zako kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka kuanzia 13-20 Julai 2019 kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea. Mbali na wanunuzi, tamasha litakukutanisha na makampuni mbalimbali. Kwa maelezo/ushiriki tucheki: 0689 086435 au http://www.majimajiselebuka.com MajimajiSelebukaFestival #TamashaLaMajimaji2019