FAINALI YA MDAHALO KWA SHULE ZA SEKONDARI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA 2018

NA MWANDISHI WETU, SONGEA SHULE ya Sekondari Londoni iliyopo Lizaboni mjini Songea Mkoa wa Ruvuma imeibuka vinara wa jumla katika mashindano ya Mdahalo ‘Debating’ yaliyoandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Songea-Mississippi (SOMI), kupitia tamasha la Majimaji Selebuka. Shindano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Songea mkoani Ruvuma ambako Mgeni rasmi alikuwa MbungeContinue reading “FAINALI YA MDAHALO KWA SHULE ZA SEKONDARI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA 2018”

WATANZANIA WANG’ARA MAJIMAJI SELEBUKA MARATHON

Na Mwandishi Wetu TAMASHA la Majimaji Selebuka 2018 limekata utepe jana mjini hapa kwa mbio za Marathon huku ikishuhudiwa Nestory Hudu kutoka Singida akiwatoa nishai Wakenya. Hudu aliibuka kidedea katika mbio za Kilomita 42 kwa Wanaume akitumia saa 2:21:25 akifuatiwa na John Leonard wa Arusha saa 2.22:09 huku nafasi ya tatu ikienda kwa Simon LeleiContinue reading “WATANZANIA WANG’ARA MAJIMAJI SELEBUKA MARATHON”

Ruvuma wazidi kuneemeka na Majimaji Selebuka

Na Mwandishi Wetu, Songea UWEPO wa tamasha la kila mwaka mkoani Ruvuma la Majimaji Selebuka, imegeuka kuwa neema kubwa ndani ya mkoa huo kutokana na fursa mbalimbali kwa wananchi, hiyo ni baada ya serikali ya Poland kupitia kaimu balozi wake hapa nchini, Ewelina Lubieniecka kuwathibitishia wananchi uwepo wa mkakati wa kujengwa kwa ghala kubwa laContinue reading “Ruvuma wazidi kuneemeka na Majimaji Selebuka”