Mtu Kwao Forum

Jukwaa ‘forum’ la Mtu Kwao lilikuwa moja ya shughuli zilizokuwepo katika tamasha hilo. Jukwaa hilo lililoendeshwa na balozi wa Majimaji Selebuka, Nathan Mpangala ambaye ni mchora vibonzo maarufu hapa nchini. Tageti ya jukwaa hilo ilikuwa ni kuibua vipaji vya vipya katika sanaa ya uchoraji kwa watoto wadogo pamoja na kutoa elimu ya uchoraji vibonzo kwaContinue reading “Mtu Kwao Forum”

Maonyesho ya ujasiriamali

Katika kumuinua mkulima na mwananchi wa kipato cha chini, SO-MI na Tanzania Mwandi waliamua kutoa nafasi ya shughuli za kijamii kama mazao na bidhaa zizalishwazo ndani na nje ya Tanzania kama sehemu ya kujitangaza kimasoko pamoja na kuuza bidhaa zenyewe. Tofauti na mwaka jana ambako vilijitokeza vikundi 10, mwaka huu vilishiriki jumla ya vikundi 22,Continue reading “Maonyesho ya ujasiriamali”

Mashindano ya baiskeli Kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka 2016.

Funga kazi ilikuwa ni mtifuano mkali wa kusaka washindi watatu katika kinyang’anyiro cha mbio za baiskeli, mbio zilizogawanywa katika kategori mbili; fupi za Kilomita 50 kutoka Jimbo la Peramiho mpaka Jimbo la Songea Mjini na Kilomita 95 kutoka wilaya ya Mbinga mpaka Wilaya ya Songea. Kwenye mbio za Km 50, Halfan Omary aliibuka kidedea akifuatiwaContinue reading “Mashindano ya baiskeli Kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka 2016.”

Diwani wa mwendokasi Selebuka 2016 huyu hapa

DALILI za mapema kuwa Tamasha la Majimaji Selebuka litagubikwa na vituko, burudani na vioja vya kutosha zilianza kujionyesha mapema wakati wa uzinduzi wake, mwaka 2015. Katika msimu wake wa kwanza, tamasha hilo linalofanyika kila mwaka kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Mashujaa wa Vita vya Majimaji mjini Songea, baadhi ya vioja ni ushiriki wa mama naContinue reading “Diwani wa mwendokasi Selebuka 2016 huyu hapa”

Wanafunzi waibuka na IPADS kutoka JICA kwenye tamasha la majimaji

SO-MI na Tanzania Mwandi katika kuthamini msingi wa maendeleo mashuleni mkoani Ruvuma, Tamasha la Majimaji tangu kuanzishwa kwake wamekuwa wakiratibu mihadalo kwa shule za sekondari ambapo mwaka huu mwitikio ulikuwa mkubwa zaidi. Tofauti na mwaka jana ambapo shule tano ndizo zilizoshiriki, mwaka huu zilishiriki jumla ya shule 11, huku pia waratibu wakiboresha zaidi zawadi kwaContinue reading “Wanafunzi waibuka na IPADS kutoka JICA kwenye tamasha la majimaji”

Utalii wa ndani

Mbali na burudani ya ngoma za asili zilizokonga nyoyo za wananchi waliohudhuria tamasha hilo, pia kulikuwa na utalii katika vivutio mbalimbali vilivyoko mkoani humo kama vile hifadhi ya mbuga za wanyama ya Luhira, hifadhi ya misitu ya Matogoro (Matogoro Forest Reserve), mradi wa ufugaji wa samaki katika mabwaba ya Ruhila, sehemu zote zipo kilomita chacheContinue reading “Utalii wa ndani”

Jakaya Group waibuka vinara kwa mara ya pili.

Haikuwa rahisi kupatikana kwa bingwa wa ngoma za asili, kiasi cha kuwalazimu waratibu wa tamasha kutumia siku mbili ili kujidhirisha na aliyestahili kupewa zawadi ya mshindi. Kwanza ni kutokana na wingi wa vikundi, tofauti na msimu wake wa kwanza ambako vilishiriki vikundi tano, safari hii vilichuana vikundi 12 pili ni ushindani wa hali ya juu.Continue reading “Jakaya Group waibuka vinara kwa mara ya pili.”